Matumaini na Mafanikio Anajizatiti kwenye ujasiriamali na elimu, akiboresha maisha ya familia yake. mume wake anapoteza mwelekeo kutokana na maisha ya anasa na kutojali majukumu ya kifamilia, Kwa juhudi na uvumilivu, anafanikiwa kumiliki nyumba yao na kuendelea kusonga mbele kwa mafanikio.