Fumbo la Onyo Ngonya anakumbwa na kundi la watu wa ajabu wanaomtahadharisha asikutane kimwili na mwanaume yeyote. Mpenzi wake anamshawishi akubali onyo hilo, lakini Ngonya anazidi kuchanganyikiwa na vitisho .