Shauku ya Hatari Hance anakutana na Ngonya kijijini, wakapendana na kuingia kwenye uhusiano mzito. Ingawa Ngonya alimtahadharisha juu ya hatari, Hance ana shauku ya kujua zaidi. Ngonya anamueleza siri nzito na kumwomba msaada. Wachawi wanagundua siri yao .