Kilele cha Usaliti Mpondi anachimba shimo na kufukia mwili wa mtoto uliovikwa sanda, huku Ngonya akilazimika kuongea na mzimu kukubali sharti ili Hance apone. Mike,anaizuia roho ya Hance isichukuliwe na wachawi. Mpondi anamwombea Bibi Mkola nafasi nyingine kutatua matatizo. Ngonya anaanza urafiki na msichana mpya .