Tobi na Hance Tobi anarudi kwa mazingira ya kushangaza, ingawa aliaminika kufa. Mike anafichua njama za wachawi. Hance anatangatanga kama nafsi , na familia yake inamtafuta kwa wasiwasi. Wachawi wanapanga njama kwenye ngome ya Ngonya ya kumteketeza mike. Tobi anamwonya Ngonya afikishe salamu kuwa wamefika mwisho