Safari ya Ushindi Mika na wenzake wanapanga kuiba mkoba wa Mzee Mpondi. Mpondi anagundua wizi huo na kutishia kulipiza kisasi lakini hana nguvu. Mika na wenzake wanaangamiza wachawi kwa kuteketeza mkoba wa Ngonya. Hance anarudi mjini, na Tobi anamuomba Ngonya msamaha baada ya kugundua hakuwa mchwawi.