Nafsi ya Kifo Giligili na Ukungu wanakutana na mwanamke barabarani, anabadilika kuwa kiumbe wa kutisha na kuwaua kutokana na nia yao mbaya .Mzee Otako anakutana na mwanamke mrembo bar, wanabadilishana namba na kupanga miadi. anakutana na mwanamke , anageuka kuwa kiumbe wa ajabu na kumtisha kuhusu kifo chake .