Gharama ya Tamaa Mr. Kuyepo anakutana na Malkia,tamaa zake za kingono zinamgharimu maisha yake .Mzee Otako anatimiza sharti la pili alilopewa na mganga,hatimaye anarejea kwenye maisha ya kawaida na familia yake.Mganga anakumbwa na hatima mbaya na kupoteza maisha, akilipa gharama ya kumsaidia Otako .