Vita na Malkia wa Kuzimu Baada ya rafiki yake na mganga kufariki wakimsaidia, Otako anakabiliwa tena na Malkia wa kuzimu akiwa hana msaada. Anaamua kufichua siri ya usaliti kwa mke wake, ambaye anamsaidia kwa upendo. Mama mchungaji anajitokeza kwa imani thabiti kupambana na nguvu za Malkia wa kuzimu na wafuasi wake.