Vitisho na Majaribu Okoronko anauawa bila hatia, Otako anaendelea kuteswa na vitisho vinavyomsukuma kushutumu familia ya mke wake kuhusika. Mama mchungaji anatishiwa asimsaidie Otako. Rafiki wa mama mchungaji anakutana na mwanaume mgeni,miadi yao inakamilika kwa kifo cha kutatanisha kwenye lodge.