Mapambano na msamaha Dada anayempeleka Otako kwa mganga anakumbwa na janga la kukatwa mguu. Otako anatokewa na kiumbe cha ajabu na kutumwa kumuua mama mchungaji, lakini anashindwa kutokana na nguvu za imani za mama mchungaji. Kwa kushindwa, anadhibiwa.