Posa Mtali na Kilegu wanapanga kuoana, lakini Mzungu anayeleta mradi wa maji anamtaka Kilegu. Bila kujua, anamwomba Mtali amsaiide. Mtali anapata changamoto za pesa na anakata mkaa, lakini anarudi na kukuta Kilegu ameshaolewa. Mtali anaamua kuhama na kuanza maisha mapya.