Surprise Suprise ni filamu fupi inayomhusu Hawa, ambaye anakumbwa na hali ya kutatanisha baada ya kupokea simu kutoka kwa mtu asiyejulikana akidai kuwa mume wake yupo hatarini.Baada ya mtihani wa kutatanisha, Hawa anagundua ulikuwa mpango wa suprise ya siku yake ya kuzaliwa.