Peponi Peponi ni filamu kuhusu Paul, kijana wa Kitanzania anayepata kazi yenye pesa na madaraka baada ya kuhangaika sana. Bosi wake, Dullah, anamwingiza kwenye ubadhirifu wa fedha na anasa, lakini polisi wanamhitaji Paul kumkamata Dullah.Paul anakabiliwa na uamuzi mgumu kati ya tamaa na wajibu.