Siri ya Mimba Madebe anaondoka kwenda kazini baada ya kumsifu mke wake kwa maneno mazuri. Govi anamfuata Madebe na kumshawishi warejee nyumbani, ambapo anafichua kuwa mimba ya mke wa Madebe ni yake. Madebe anamkabili mke wake akimtaka athibitishe madai hayo. Siri nzito yafichuka.