Ukweli wa Ndani Govi anasimulia jinsi mke wa Madebe alivyopata ujauzito baada ya kushindwa kujizuia akiwa amelewa.Simu ya Mtamu inaisha chaji, na bibi yake anachukua na kumpatia gazeti kwenda kuchaji. Bibi anamsihi Mtamu kuwa msikivu kwa kungwi wake.Chupa na mpenzi wa mtamu wanafika kijijini kumtafuta mtamu .