Mivutano ya Kijiji Mzee anamkosoa Govi kwa kumtumia mke wa Madebe kama mtaji. Kungwi anamaliza kazi na kumuaga bibi huku Chupa na Dondora wanakula mgahawani, ambapo Chupa anamsihi Dondora ampe Mtamu ujumbe wa taarifa kuwa wapo kijijini.Bibi anashangaa mtamu anataka kufanya mawasiliano na nani baada kuitaka simu yake.