Changamoto za Maamuzi Kibita na mke wa Madebe wanaenda sokoni, lakini hali ya mazungumzo yao inaonyesha wasiwasi wa ndani kwa mke wa madebe.Chupa na Dondora wanataka kufika kwa Mzee Simba, lakini hawafichui sababu ya ujio wao.Mtamu anasifiwa bibi kimemo kwa kuanza kujifunza lugha taratibu zenye stara.