Mafunzo na Hofu Mtamu anapata mafunzo kutoka kwa kungwi wake kuhusu heshima na maadili, akisisitizwa kufuata tamaduni kabla ya ndoto zake.Dondora anakumbana na hofu kuhusu Mzee Simba, huku Chupa akihimiza kufuata malengo badala ya kuhofia uchawi.