Mapenzi na Msamaha Dondora anaendelea na juhudi zake za mapenzi kwa Mtamu huku akiwa amefanikiwa kukutana nae huku akikabiliana na vikwazo mbalimbali .Madebe na mke wake wanapambana na mivutano ya kifamilia kati yao huku Mlasimu akiendelea kuomba msamaha kwa Madebe.Govi anamsihi mke wake asiingilie ugomvi usiomhusu .