Hatua za Kijijini Govi anamwonya mke wake kutoshiriki kwenye mgogoro wa Mlasimu.Huku kungwi anaendelea kumfundisha Mtamu kuhusu vazi la mbwani. Dada mmoja anafika ofisini kufikisha taarifa juu ya gari iliomuacha.Kibita anagundua ukweli ujio wa chupa na Dondora ,huku Govi akijua la kufanya juu ya ujio wao.