Kungwi na Siri za uanamke Kungwi anamfunza Mtamu umuhimu wa vazi la kanga kama sehemu ya utamaduni na heshima ya mwanamke, huku Dondora akijitahidi kuendelea na juhudi zake za mapenzi kwa Mtamu. Madebe anatafakari tabia na malezi yanavyoathiri mahusiano ya kijinsia, huku Govi akipanga kuwashughulikia Dondora na chupa.