Hatma ya Upendo Uhusiano wa Govi na mke wake unatikisika baada ya siri ya mimba kufichuliwa na Mlasimu. Madebe analazimika kukabiliana na ukweli mchungu kuhusu maisha ya ndoa na msamaha. Kungwi anaendelea kumfunza Mtamu kuhusu ujuzi wa maisha ya mwanamke, huku Chupa akimhimiza Dondora kuharakisha maandalizi yake.