Mtamu, Madebe, na Mzee Tembo Mtamu anajitayarisha kwa siku yenye amani ya kukutana na Dondora . Madebe anatoa mtazamo wa zamani na sasa juu ya changamoto ya kimaadili.Mzee Tembo akiwa na mawazo anajitahidi kutaka kuweka usawa kati ya pande mbili kati ya Govi na Madebe juu ya kile kinachoendelea baina yao