Kifo cha Dondora Govi anappkea simu na kisha anakuwa na wasiwasi kuhusu matatizo nyumbani yalilojitokeza .Gazeti anapata habari za kifo cha Dondora na kugundua kuwa Bashasha ni mke wa Dondora.chupa anagundua kuwa mzee simba ndie Govi, kibita anamshauri akikutana na mwenzake wa harakishe kwenda mjini kabla matatizo