TABASAMU Tabasamu ni filamu fupi inayosimulia maisha ya Jessica,mwanamke mcha Mungu. Licha ya maisha ya ukondakta wa daladala, ana ndoto ya kuwa mwanamziki. Baada ya kuota ndoto mbaya, Jessica anakumbana na ajali mbaya inayomfanya apoteze uwezo wa kutembea lakini, Anaponywa na kurejea kutembea tena.