Govi anappkea simu na kisha anakuwa na wasiwasi kuhusu matatizo nyumbani yalilojitokeza .Gazeti anapata habari za kifo cha Dondora na kugundua kuwa Bashasha ni mke wa Dondora.chupa anagundua kuwa mzee simba ndie Govi, kibita anamshauri akikutana na mwenzake wa harakishe kwenda mjini kabla matatizo
Duration : 19m Maturity Level : all
Tabasamu ni filamu fupi inayosimulia maisha ya Jessica,mwanamke mcha Mungu. Licha ya maisha ya ukondakta wa daladala, ana ndoto ya kuwa mwanamziki. Baada ya kuota ndoto mbaya, Jessica anakumbana na ajali mbaya inayomfanya apoteze uwezo wa kutembea lakini, Anaponywa na kurejea kutembea tena.
Duration : 15m Maturity Level : all
TABASAMU trailer FINAL.mp4
Duration : 1m Maturity Level : all