Ngonya Ngonya alizaliwa chini ya mti wa mikutano ya wachawi, na baada ya mama yake kufariki, wachawi walimlea wakimwandaa kuwa kiongozi wao. Alikua akikabiliana na vitisho vya uchawi huku akikataa hatima hiyo ya giza. Tobi na Mike walijaribu kupambana na nguvu za wachawi, huku Mika akiongoza jitihada za kuangamiza uchawi kijijini. Ngonya alipitia changamoto nyingi, kama kumpoteza Hance kwa mizimu na kushuhudia marafiki wakipoteza maisha kutokana na vitisho vya wachawi. Hatimaye, Mika na wenzake waliangamiza wachawi kwa kuteketeza mkoba wa uchawi. Hance alirudi mjini, na Tobi alimwomba Ngonya msamaha baada ya kugundua Ngonya akuwa mchawi.